Tanzania bus from Kampala 2018..
It's about different cultures, people and places.
KTT: Building Bridges.
FB Page:
FB Group:
Usiyoyajua kuhusu roketi ya Falcon Heavy iliyopaa angani Feb 6 na safari za kulipia kwenda Mars
AIR TANZANIA - AFRICA's ONLY AIRBUS A220 & INVITED TO THE COCKPIT!
This is a comprehensive Flight Review of Air Tanzania's Brand New Airbus A220-300 from Mwanza (MWZ) to Dar Es Salaam (DAR) on TC111 featuring their Business Class cabin as well as Service, Food and Lounge and from the flight deck!
▶︎ Support ME and become a PATRON for exclusive perks and help me run this channel - THANKS HEAPS!
▶︎ GET $40 AIRBNB TRAVEL CREDIT
▶︎ Frequently Asked Questions (FAQ):
► BEST FLIGHT DEALS:
▶︎ Follow me on Instagram, Facebook and Twitter!
▶︎ Read my blog:
▶︎ Email Contact: gotravelyourway@gmail.com
#airtanzania #joshcahill #tanzania
Maadhimisho ya Siku ya Waongozaji Ndege Duniani
Katika Kuadhimisha ya siku ya waongozaji ndege duniani ambayo huadhimishwa tarehe 20 Oktoba kila mwaka, Rais wa Chama cha Waongozaji Ndege Tanzania TATCA anaelezea historia, umuhimu na mchango wa waongozaji ndege nchini.
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka iliundwa kwa Sheria ya Usafiri wa Anga, Sura ya 80 (R.E 2006).
Majukumu ya kisheria ya Mamlaka ni kudhibiti masuala ya ki-usalama, ki-uchumi katika usafiri wa anga na kutoa huduma za uongozaji ndege.
Pia Mamlaka inatoa huduma za uongozaji ndege kwenye vituo vya ndege kumi na nne (14) ambavyo ni: Dar es Salaam, Kilimanjaro,Tanga, Arusha, Mwanza,Tabora,Kigoma, Dodoma, Iringa, Songwe, Songea, Mtwara, Zanzibar na Pemba.
The WORLD's FIRST AIR TANZANIA 787 DREAMLINER REVIEW in BUSINESS CLASS!
This is a comprehensive Flight Review of Air Tanzania's Brand New 787-8 in Business Class from Dar Es Salaam (DAR) to Mwanza (MWZ) on TC110 featuring their Business Class cabin as well as Service, Food and Lounge at Dar Es Salaam Airport.
▶︎ Support ME and become a PATRON for exclusive perks and help me run this channel - THANKS HEAPS!
▶︎ GET $40 AIRBNB TRAVEL CREDIT
▶︎ Frequently Asked Questions (FAQ):
► BEST FLIGHT DEALS:
▶︎ Follow me on Instagram, Facebook and Twitter!
▶︎ Read my blog:
▶︎ Email Contact: gotravelyourway@gmail.com
Music:
Song: Niwel & SKANDR - Still Waiting (Vlog No Copyright Music)
Music provided by Vlog No Copyright Music.
Video Link:
#airtanzania #joshcahill #tanzania
ALICHO FANYIWA DEREVA WA BUS HATOKUJA KUSAHAU KAMWE
FALCON DAR 2 MASS TOWN (MUSOMA)
Izalenician Tv
Lake Manyara, Tanzania - Airborne Geophysical Survey
Airborne Helicopter (R44) Geophysical Survey of Eastern Portion of Lake Manyara, Tanzania. Footage includes staging shots in Kigali, Rwanda and Ferry Ride from Kigal to Mwanza, TZ to Lake Manyara, TZ. Footage includes aerial and ground shots of Elephants, Giraffes, Lions, Cape Buffalo, Zibra etc.
TANZIA:Mtangazaji Samadu Hassan wa StarTV Afariki Dunia
Mtangazaji wa StarTV na RFA Samadu Hassan amefariki dunia ghafla jijini Mwanza
#Startv,#RFA,#SamaduHassan,
Shariff Mohammed Royal Coach.
Kwa safari za Dar-Lindi-Songea. ...safiri na Shariff Mohammed Royal coach kila siku. Ofisi zipo Temeke Bus terminal na Mbagala bus Terminal. ...karibu ufurahie safari yako salama salimini ukiwa ndani ya SM.ROYAL COACH. ...Tunawatakia safari njema. ..abilia usisahau kufunga mkanda wa siti yako. ..asante.
TANZIA: Mtangazaji Samadu wa Star TV Afariki Dunia
TANZIA: Mtangazaji Samadu wa Star TV Afariki Dunia
MTANGAZAJI maarufu wa Habari wa Kituo cha Runinga cha Star Tv na Radio Free Africa, (Sahara Media Group) ambaye pia alikuwa mkongwe kwenye tasnia hiyo, Samadu Hassan amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, nyumbani kwake eneo la Miembe Mitatu, jirani na kituo cha Chakechake wilayani Nyamagana jijini Mwanza .
Mdogo wa Samadu, Latifa Hassan amesema kaka yake alikuwa akisumbuliwa na kifua kwa zaidi ya wiki moja, kabla ya kufikwa na umauti.
“Jana jioni, Samadu alirudi nyumbani kwake akitokea kazini alikuwa mzima wa afya, lakini alikuwa akidai kifua kinamsumbua. Tulikula naye pamoja chakula cha jioni, akadai kifua kinamsumbua, tulimwambia twende hospitali ili akatibiwe, lakini alisema atakwenda kesho (leo).”
“Ilipofika saa sita kasoro usiku, ghafla hali yake ikabadilika na kuanguka chini na kuanza kutokwa na mapovu mdomoni. Tulikimbia kwenda kutafuta gari kumuwahisha hospitali, hadi tunapata gari na kurudi ndani, tulikuta tayari ameshaaga dunia,” amesema Latifa.
SUBSCRIBE: Global TV Online: Watch More Videos here: Watch More Videos here: Website: globalpublishers.co.tz FaceBook:
facebook.com/globalpublishers Instagram: instagram.com/globalpublishers Twitter: twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: Install Global App: iOS:
Uzinduzi wa SERENGETI FIESTA 2011 - Umati wa watu wa manzese
Landing at Basankusu Airport - Atterrissage à l'aéroport de Basankusu
Mbandaka to Basankusu in the equatorial ranforest of the Democratic Republic of the Congo. The plane passes over virgin forest with no sign of habitation. Eventually the River Lulonga can be see in the distance and the forest is interupted, first by palm oil plantations of the CCP company, and then by vegetable gardens before the houses of Basankusu town appear. ~~~~~~~~~~~~~~~~~ Mbandaka à Basankusu dans la forêt équatoriale de la République démocratique du Congo. L'avion passe au-dessus la forêt vierge sans aucun signe d'habitation. Finalement, la rivière Lulonga est vu dans la distance et la forêt est interrompu, d'abord par des plantations d'huile de palme de la société CCP, puis par des jardins potagers, avant que les maisons de la ville de Basankusu apparaissent.
HII NDIYO NDEGE ILIYOTUNGULIWA NA MANYAMERA WA IRANI , BAJETI YAKE TU INALISHA TANZANIA NA UGANDA ,
Coastal 32 years
On September 16th 1987, Coastal embarked on its maiden voyage from Dar-Es-Salaam to Selous in a single-engine Cessna 206. 32 years on, we would like to thank you all for your continued support and we look forward to many more years in service together. #coastal32years #flycoastal #theflyingsafaricompany
North Star Foundation
North Star Foundation
WATU WAMKIMBIA JAMAA HUKO KISESA
#TANZIA: ABIRIA MMOJA ADONDOKA KWENYE NDEGE IKIWA ANGANI(afariki papo halo)
HB TV
tumelenga kukuweka karibu na ndoto zako.
.subscribe.
uwe wa kwanza kufikiwa na HAS BILLION TV punde tutakapo post kwenye chanel yetu
HB TV
#HAS_BILLION #NDEGE #TANZIA
Cessna 206 in Tanzania
Clips taken from medical clinic flights around northern Tanzania
Music:
Seeb
What Do You Love