KAULI YA MAREKANI KWA WASICHANA WA TEKNOLOJIA TANZANIA
Tunayo story kutokea Serikali ya Marekani ambapo kupitia ubalozi wao nchini Tanzania imefanya ziara katika Taasisi ya Wanawake wanaojihusisha na Teknolojia Apps & Girls ikiwa ni Siku ya Wanawake Duniani ambapo imeelezwa kuwa Tanzania ina asilimia chini ya 20 ambao wamemaliza Elimu ya Sekondari.
KAULI YA SALUM MWALIMU JUKWAANI MOSHI
Chama Cha Demokrasia na maendeleo Chadema, kimesema uchaguzi wa marudio unaotarajiwa kufanyika Agosti 12, umejaa vituko kutokana na vigezo vilivyotumika kuhakiki wagombea.
MWINYI ZAHERA AJITETEA BAADA YA KIPIGO CHA 2-0 - Ni Mechi ya Kirafiki
MWINYI ZAHERA AJITETEA BAADA YA KIPIGO CHA 2-0 - Ni Mechi ya Kirafiki
Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema kuwa sababu kubwa ya kupoteza mchezo wake mbele ya Polisi Tanzania ni kukosa umakini kwa wachezaji wake kwenye mchezo huo.
Kocha Zahera amesema anatarajia kufanya mabadiliko ya kikosi hicho kuelekea mchezo wake dhidi ya AFC Leopold ili yasijirudie yaliyotokea kwenye mchezo wake dhidi ya Polisi Tanzania.
Yanga ilipoteza ilipoteza mchezo wake mbele ya Polisi Tanzania ulochezwa kwenye Uwanja wa chuo cha Ushirika Moshi kwa kufungwa mabao 2-0 ukiwa ni mchezo wa kirafiki.
#YANGASC
Watch More Videos here: Watch More Videos here: Watch More Videos here: Watch More Videos here: Website: globalpublishers.co.tz FaceBook: facebook.com/globalpublishers Instagram:
instagram.com/globalpublishers Twitter: twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: Install Global App: iOS:
Kauli 'TATA' za Rais MAGUFULI Zilizotikisa 2018!
Kauli 'TATA' za Rais MAGUFULI Zilizotikisa 2018!
Ikiwa mwaka 2018 unaelekea ukingoni, Global TV tumekuandalia kauli nne tata za Rais Magufuli, ambazo alizitamka kwenye ziara zake na zikazua gumzo.
Sikiliza kauli hizo na kama hazitakuacha hoi basi zitakuvunja mbavu.
#RAISMAGUFULI
Watch More Videos here: Watch More Videos here: Website: globalpublishers.co.tz FaceBook: facebook.com/globalpublishers Instagram: instagram.com/globalpublishers Twitter:
twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: Install Global App: iOS: USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK
KAULI Ya KOCHA Wa ZESCO 'LWANDAMINA' Alivyotua DSM - YANGA HATUIOGOPI
KAULI Ya KOCHA Wa ZESCO 'LWANDAMINA' Alivyotua DSM - YANGA HATUIOGOPI
Kocha Mkuu wa Zesco United, George Lwandamina, ametua salama na kikosi chake katika ardhi ya Tanzania na kuzungumza na wanahabari kuhusiana na jinsi alivyokipanga kikosi chake vizuri kuumana na klabu ya Yanga.
Zesco na Yanga wanatarajia kuumana Jumamosi ya Septemba 14, katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar katika mchezo wa ligi ya mabingwa wa Afrika..
#LWANDAMINA
Watch More Videos here: Watch More Videos here: Website: globalpublishers.co.tz FaceBook: facebook.com/globalpublishers Instagram:
instagram.com/globalpublishers Twitter: twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: Install Global App: iOS:
Rais Pombe Magufuli yuko buheri wa afya
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amejitokeza hadharani siku moja baada ya taarifa kadhaa kusambaa kuhusu hali yake ya kiafya. Magufuli alihudhuria hafla ya kuwaapisha viongozi katika ikulu yake jijini Dar Es Salaam, hafla ambayo imefanyika siku ya Jumapili. Na kama anavyotuarifu Gatete Njoroge maelfu ya Watanzania walitazama hafla hiyo iliyopeperushwa moja kwa moja mitandaoni.
TOP 10: KAULI ZA JPM ZILIZOTIKISA, TAZAMA UNIAMBIE IPI ILIKUKOSHA ZAIDI!
TOP 10: KAULI ZA JPM ZILIZOTIKISA, TAZAMA UNIAMBIE IPI ILIKUKOSHA ZAIDI!
Ni takribani miaka minne tangu Rais Daktari John Pombe Magufuli aingine Madarakani katika awamu ya Tano kuiongoza Tanzania.
Msingi na mwongozo bora wa awamu hii yenye kauli mbiu HAPA KAZI TU…..ni Uthibitisho wa kauli ya Rais Magufuli kupitia hotuba yake ya kwanza ndani ya bunge la 11 la jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Maneno haya yanadhihirisha dhamira ya dhati kuyatekeleza yote aliyowaahidi watanzania kupitia katika kampeni zake...
Mara zote Rais Magufuli amekuwa akitembea juu ya maneno anayozungumza katika hotuba zake mbalimbali.
#HOTUBARAISMAGUFULI
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
---------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
GLOBAL RADIO TV:
EXCLUSIVE INTERVIEWS:
Category
News & Politics
KAULI YA KWANZA YA ASKOFU RUWA'ICHI BAADA YA KURUHUSIWA MOI
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam nchini Tanzania, Mhashamu Yuda Thadeus Ruwa'ichi ameruhusiwa kutoka katika Taasisi ya Mifupa MOI baada ya kufanyiwa upasuaji katika Kichwa.
Mhashamu Ruwa'ichi alifikishwa Hospitalini hapo Septemba 9, 2019 akiwa ajitambui akitokea Hospitali ya KCMC, Moshi mkoani Kilimanjaro.
HUMPREY Polepole AWAJIBU Upinzani Kuhusu KAULI - WASITUJARIBU
HUMPREY Polepole AWAJIBU Upinzani Kuhusu KAULI - WASITUJARIBU
Baada ya vyama vaya upinzani nchini Tanzania kuwaambia wananchi wakae tayari kupokea maelekezo yao mara baada ya kujitoa kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa Katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Humphrey Polepole amesema wapinzani wasiwajaribu na kuwataka vijana wa CCM nchini kuwa mstari wa mbele kuilinda amamani ya nchi.
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
GLOBAL RADIO TV:
EXCLUSIVE INTERVIEW:
Kauli ya Mbowe kwa Waziri Lukuvi Msibani kwa Mzee Ndesamburo
Maneno ya Mbowe Baada ya Kumuona Waziri Lukuvi Kwenye Msiba wa Ndesamburo
GLOBAL HABARI: KAULI YA TRA MALI ZA KAKOBE KIZUNGUMKUTI
Subscribe
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itamchunguza kiongozi wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Askofu Zakari Kakobe baada ya kutangaza kuwa ana fedha nyingi kuzidi serikali.
Akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam, Kamishna Mkuu wa TRA, Charles Kichere amesema Tanzania kuna matajiri wengi ambao wanalipa kodi lakini hawana fedha za kuizidi serikali hivyo wameshtushwa na kauli ya Askofu Kakombe ambaye hawana taarifa za ulipaji kodi wake.
Bwana Kichere amesema TRA inafahamu taasisi za dini huwa zina shughuli nyingine za kiuchumi, na hivyo huwenda Askofu Kakobe na yeye kuna shughuli nyingine za kichumi huwa zinampatia hela kiasi kwamba akawa na pesa nyingi kuliko serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kamishna Kichere amemaliza kwa kumtaka Askofu Kakobe kutoa ushirikiano kwa vijana wa mamlaka hiyo pindi watakapomtembelea ili kuweza kujiridhisha kuhusu suala hilo.
FACEBOOK: TWITTER: Visit Subscribe Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… WEBSITE: FACEBOOK: TWITTER: INSTAGRAM:
CUF YAGOMEA UKAWA, KAULI YATOLEWA LOWASSA MWINGINE
KAULI YA SERIKALI KUHUSU BEI ELEKEZI KWA HOSPITALI BINAFSI SI KUWABANA
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile ametoa kauli juu ya suala la kuwa na bei elekezi kwa gharama za matibabu katika Hospitali na Vituo vyote vya Tiba vya binafsi
KAULI YA KAMISHNA MSAIDIZI ILALA AKIFUNGA MAFUNZO YA TPSIS
KAULI YA KAMISHNA MSAIDIZI ILALA AKIFUNGA MAFUNZO YA TPSIS
Kamshina msaidizi wa polisi mkoa wa Ilala, amefunga mafunzo maalum ya TPSIS...
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
HABARI MPYA DAILY:
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
GLOBAL RADIO TV:
EXCLUSIVE INTERVIEW:
KAULI YA MAKAMU WA RAIS KUHUSU RIPOTI YA TAKUKURU WANAWAKE NI WAAMINIFU
Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wamepokea ripoti ya TAKUKURU ambayo ilikuwa na mambo mengi ikiwemo ya ufisadi, ambapo Rais alisifia sana wanawake licha ya kuwa katika ripait hiyo kulikuwa na Mwanamke aliyewatapeli wafanyakazi wenzie, hivyo kwenye matukio makubwa ya kukwepa kodi wanawake ni wachache.
KAULI YA UBALOZI WA MAREKANI KWA WANAFUNZI KILA MTU ANAHITAJI MAISHA YA UHURU
SABAYA AAGIZA WAMILIKI WA MABASI WAKAMATWE KISA KUHUJUMU MIUNDOMBINU YA RELI
Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameagiza wamiliki wawili wa mabasi kukamatwa kwa tuhuma za kuunda genge la wahalifu kwa lengo lakuhujumu miundombinu ya reli ili kuathiri usafiri wa treni kati ya Dar,Moshi hadi Arusha
KAULI YA DKT BASHIRU KUHUSU JPM KUKABIDHIWA UENYEKITI SADC
Katibu mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akiwaongoza viongozi wa vyama vya siasa vilivyokombia nchi za kusini mwa Afrika SADC kutembelea ujenzi wa chuo cha uongozi cha mwalimu Nyerere Kibaha mkoa wa pwani kinanachojengwa na wachina
Chuo hicho ni cha pamoja cha vyama vyote tawala vilivyopatiwa uhuru nchi zao kama CCM,ZANU PF,ANC,FRELIMO,RENAMO na vingine
viongozi hao wapo katika mkutano wa nchi wanachama wa SADEC unafanyika jiji Dar es salaam chini ya Mwenyekiti wake Dr John Magufuli Rais wa Tanzania
EXCLUSIVE: House Girls wa MENGI Wasimulia Kauli Yake ya Mwisho SINA HELA
EXCLUSIVE: House Girls wa MENGI Wasimulia Kauli Yake ya Mwisho SINA HELA
Kwa mara ya kwanza, wafanyakazi wa ndani House Girls wa marehemu Dkt Mengi wameongea na Global TV Online na kusimulia ambayo hawakuwahi kuongea kuhusu walivyokuwa wakiishi na mzee na ahadi ya mwisho aliyowaahidi akirudi kutoka safarini......
#RIPREGINALDMENGI
Watch More Videos here: Watch More Videos here: Website: globalpublishers.co.tz FaceBook: facebook.com/globalpublishers Instagram:
instagram.com/globalpublishers Twitter: twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: Install Global App: iOS:
Kwa mara ya kwanza, wafanyakazi wa ndani House Girls wa marehemu Dkt Mengi wameongea na Global TV Online na kusimulia ambayo hawakuwahi kuongea kuhusu walivyokuwa wakiishi na mzee na ahadi ya mwisho aliyowaahidi akirudi kutoka safarini......
#RIPDrMengi #IcanIwillImust
SABABU WAWEKEZAJI KUKIMBIA ZATAJWA, TANZANIA NA KENYA ZAJADILI KUDHIBITI
Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ushindani Tanzania FCC, Profesa Humphrey Moshi ameeleza kuwa bidhaa bandia zina madhara makubwa matatu ikiwemo kufukuza Wawekezaji, Kukosesha ajira na afya kwa Binadamu.