UKARABATI MELI YA MV VICTORIA UMEFIKIA HAPA
MV VICTORIA YAZIDI KUNOGA 'NI UKARABATI MKUBWA VINATOLEWA VINAWEKWA VIPYA
IFAHAMU MV.VICTORIA ILIVYOKUWA NA SASA INAVYORUDI KATIKA UPYA WAKE
HAFLA YA UWEKAJI JIWE LA MSINGI UJENZI WA MELI MPYA , CHELEZO NA UKARABATI WA MV VICTORIA NA BUTIAMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka Jiwe la Msingi miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya , Chelezo na Ukarabati wa M.V Victoria na M.V Butiama katika Ziwa Victoria Jijini Mwanza. Sherehe zinazofanyika Katika Bandari ya Igogo Jijini Mwanza.
MV UMOJA YAZIUNGANISHA TENA UGANDA NA TANZANIA
HAFLA YA UWEKAJI JIWE LA MSINGI UJENZI WA MELI MPYA , CHELEZO NA UKARABATI WA MV VICTORIA NA BUTIAMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka Jiwe la Msingi miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya , Chelezo na Ukarabati wa M.V Victoria na M.V Butiama katika Ziwa Victoria Jijini Mwanza. Sherehe zinazofanyika Katika Bandari ya Igogo Jijini Mwanza.
UKAGUZI WA MRADI WA UJENZI WA MELI MPYA KATIKA ZIWA VICTORIA - BANDARI YA MWANZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akagua mradi wa ujenzi wa Meli mpya katika Ziwa Victoria Bandarini Jijini Mwanza
MV-MWANZA VIDEOS LAKE VICTORIA -MWANZA -TANZANIA
NOMA! ULIPOFIKIA UJENZI WA MELI MPYA MWANZA, WAZIRI KATUONESHA...
NOMA! ULIPOFIKIA UJENZI WA MELI MPYA MWANZA, WAZIRI KATUONESHA...
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Isack Kamwelwe amesema ujenzi wa meli mpya itakayoitwa Mv.Mwanza Hapa kazi tu unaendelea vizuri katika ziwa victoria na itakuwa na uwezo mkubwa.
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
GLOBAL RADIO TV:
EXCLUSIVE INTERVIEW:
Ubovu wa Meli za MV.Victoria na Serengeti wasababisha abiria kupungua Mwanza.
#Mvvictoria #serengeti #Butiama #Mwanza #itvtanzania
Ukarabati MV VICTORIA, Injini 2 Mpya, Safari Zake Kupelekwa UGANDA
Ukalabati MV VICTORIA, Injini Mpya 2, Safari Zake Kupelekwa UGANDA
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
GLOBAL RADIO TV:
EXCLUSIVE INTERVIEW:
MV MWANZA, Ilipofikia Meli Mpya ya Kisasa Inayojengwa kwa Bill 89.7

UJENZI WA MELI MPYA YA BUKOBA
Mtaalam kazungumza “miradi ya Meli Mwanza”
• UJENZI WA MELI MPYA ZIWA VICTORIA: Kontena 17 zawasili jijini Mwanza
Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
Star TV Brightens Your Day !
UJENZI WA MELI MPYA YA BUKOBA NA MWANZA,KUKAMILIKA KWA AWAMU YA MICHORO
Hatua za awali za kazi ya kujenga chelezo na meli mpya inayoendelea katika eneo la Bandari ya Mwanza Kusini imekamilika kwa asilimia 30.
Akizungumza na Waandishi wa habari wakati wa ziara ya kukagua kazi hiyo Mei 20, 201
MV Victoria Katarina And Her Friends
River traffic in the port of Fengdu on the upper yangtzer.
ULIPOFIKIA UJENZI WA MELI MPYA ALIYOIAHIDI RAIS MAGUFULI ZIWA VICTORIA
Safari ya kwanza ya kivuko kipya Mwanza, JPM katimiza ahadi
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe leo July 29, ameongoza Wananchi na abiria kuanza kukitumia rasmi kivuko cha MV. Mwanza, ndani ya Ziwa Victoria, kitafanya safari zake kati ya Kigongo ferry na Busisi Sengerema.
PROFILE: AJALI Kubwa za MELI Zilizowahi Kutikisa Tanzania!
#MVNYERERE #MVBUKOBA #AJALIZAMELI
SIMANZI! Meli Zilizowahi Kuzama TZ Na Kuua Watu Wengi Zaidi
Wakati bado watanzania wakiwa kwenye maombelezo ya kuwaombolezea mamia ya watanzania kuzama katika kivuko cha Mv Nyerere turudi nyuma kidogo tukumbuke miaka Miaka 21 iliyopita ambayo haitaweza kusahaulika kwa urahisi kwenye mioyo ya Watanzania Ulimwenguni kote, hasa yanapotokea matukio kama hayo kwani usiku wa kuamkia Mei 21, 1996, meli ya MV Bukoba ikiwa na abiria kati ya 750 na 800 pamoja na wafanyakazi 37 ilizama majini kwenye Ziwa Victoria mwambao wa Bwiru Jijini Mwanza ambapo ilikuwa takribani kilomita 30 kufika nchi kavu.
Ripoti ya Tume ya Jaji Robert Kisanga, iliyochunguza chanzo cha hiyo ilieleza kuwa, kati ya hao, 114 waliokolewa wakiwa hai; wakati 391 waliopolewa wakiwa wamefariki na kuzikwa katika makaburi ya Igoma barabara ya Musoma, nje kidogo ya Jiji la Mwanza. Miili mingine ilichukuliwa na jamaa kuzikwa kwao. Jumla ya miili 332 haikupatikana.
iOS: Subscribe FACEBOOK: TWITTER: Visit
Suazi1 WEBSITE: FACEBOOK: TWITTER: INSTAGRAM: