Hifadhi ya Kisiwa cha Saanane | Mwanza Tanzania
Subscribe ili kuendelea kupata video zaidi za vivutio vilivyopo #Tanzania.
Katika video ya leo nimetembelea jiji la #Mwanza na nikapata nafasi ya kwenda Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha SaaNane ambayo ni hifadhi ndogo zaidi nchini Tanzania. Hifadhi hii inafikika kirahisi kwa kutumia boti kutoka Mwanza na kukatiza katika Ziwa #Victoria na ni mwendo wa dakika 5 tu.
Kuna shughuli nyingi unaweza kuzifanya ukiwa hapa kama kukwea miamba, kutazama wanyama na ndege lakini pia kutazama mandhari nzuri ya Ziwa Victoria.
Naamini utafurahia video hii na kushare na marafiki.
Asante kwa kuangalia.
Connect:
Blog:
Instagram:
Twitter:
Music: YouTube Library
KARIBU MWANZA: Jionee kisiwa kiitwacho SAA NANE
Wakati tukiisubiria FIESTA 2017 Mwanza September 23, Sept 19, 2017 Reporter wako wa nguvu Millard Ayo alitembelea moja ya visiwa vinavyopatikana Mwanza Tanzania, kinaitwa SAA NANE ambacho pia ni Mbuga ya Wanyama.
Hifadhi ya Saanane Mwanza, imekuja na mbinu mpya kuvutia Utalii.
Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saanane imekuja na mbinu mpya ya kutangaza Utalii wa ndani mbapo imeamua kuwatumia Wanafunzi wa Vyuo vikuu vya Mwanza kutembelea Hifadhi ya Kisiwa cha Saanane kujionea rasilimali zilizopo kwa lengo la kujifunza ili wawe mabalozi wakuitangaza Hifadhi kwenye jamii zao.
#TanzaniaUnfogetable Saanane Island Mwanza City
**************************************************
Binagi Media Group
P.O Box 265 Mwanza
Simu: +255 (0) 757 43 26 94
Barua pepe: binagimediagroup@gmail.com
Blog: bmgblog.co.tz
Youtube: BMG Online TV
Facebook: BMG Habari
Twitter: @bmghabari
Instagram: @bmghabari
#PamojaDaimaBMG
MAAJABU YA HIFADHI YA KISIWA CHA SAANANE, HIFADHI NDOGO KULIKO ZOTE TANZANIA
Hifadhi ya kisiwa cha saanane ni hifadhi ndogo kuliko zote ambayo inapatikana ndani ya ziwa Victoria katika jiji la Mwanza, ina ukubwa wa kilimeta za mraba 2.18 ikiwa ni eneo la nchi kavu na maji
SAANANE ISLAND NATIONAL PARK
Tour ya kisiwa cha saanane kinachopatikana Mwanza
Rubondo Island National Park
Saanane Island National Park
Beautiful rainbow in the Jungle!
SAANANE: KISIWA 'KILICHOPANDWA' WANYAMA!
SAANANE: KISIWA 'KILICHOPANDWA' WANYAMA!
Kisiwa cha Saanane awali kilikuwa kisiwa kisicho na mnyama mkubwa hata mmoja, kipo nje kidogo na jiji la Mwanza lakini utundu wa watu ukafanya wapandikize wanyama kwa maana kwamba walisafirishwa na kupelekwa kwenda kuishi humo.
Ukiambiwa hivyo unawezakubisha lakini ndivyo ilivyokuwa na inaelezwa kuwa kilifanywa hivyo baada ya mzee Chawandi Saanane aliyekuwa mmiliki wa kisiwa hicho na kuishi hapo na familia yake kuombwa na baba wa Taifa, Jullius Nyerere akiuze kwa Serikali. Mzee Saanane alikubali na kuhama baada ya kufidiwa.
Watch More Videos here: Watch More Videos here: Website: globalpublishers.co.tz FaceBook: facebook.com/globalpublishers Instagram:
instagram.com/globalpublishers Twitter: twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: Install Global App
Saanane Island National Park
with a touch of craziness
Sanaane Island, Mwanza Tanzania
Czon at Saa Nane Islands
Kushi 2515
Saanane Island National Park
This is a Merry-go-round in Saanane Island National Park's picnic site. Visit Saanane National Park-Mwanza-Tanzania and enjoy the vibe.
UTALII WA NDANI KATIKA KISIWA CHA SAANANE MWANZA
Machi 2019 ziara ya utalii wa ndani katika kisiwa cha Saa nane
Malaika Hotel Mwanza and Saa nane national park
like and subscribe ????
Friend of Saanane
Saanane Island National Park in Lake Victoria, Tanzania has just launched a new way for foreigners and locals alike to get involved with saving and caring for the national park's wildlife. As the first Friend of Saanane, I could not be more excited about sharing this beautiful island with everyone.
For now, if you would like to become a friend of the park, contact me on vidbee.org
Asante Sana
Saanane island national park
Video from Said Mkamba
HIFADHI ZA TAIFA MPYA MKOANI KAGERA
Mamlaka ya hifadhi za taifa nchini ( TANAPA) imeshauriwa kuweka ulinzi madhubuti pindi itakapokabidhiwa mapori ya akiba ya Ibanda na Rumanyika yaliyopo wilayani Kyerwa Mkoani Kagera ambayo yapo katika mchakato wa kupandishwa hadhi na kuwa hifadhi za Taifa ili kuepukana na tishio la vitendo vya ujangili vilivyoshamiri katika maeneo hayo yaliyo pakana na nchi jirani.
Taarifa zaidi na mwandishi wetu MARIAM EMILY kutoka mkoani Kagera.
HIFADHI YA LUBONDO YAKABIDHI BOTI
KIKUNDI CHA GEZA ULOLE CHENYE MAKAO YAKE WILAYANI CHATO MKOANI GEITA KIMEPOKEA MSAADA WA BOTI KWAAJILI YA UHIFAZI ZIWA VICTORIA
Zebras Grazing in Saanane Island National Park
Mwanza, Tanzania