Ndege ya kwanza ya Qatar Airways yatua uwanjani Moi Mombasa
Sekta ya utalii eneo la Pwani imepigwa jeki baada ya shirika la ndege la Qatar kuzindua safari ya ndege ya moja kwa moja kutoka Doha hadi Mombasa.
Ndege ya kwanza aina ya A320 ilitua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Moi saa mbili kamili asubuhi hii leo na zaidi ya wageni 100. Naibu gavana wa Mombasa William Kingi na afisa mkuu mtendaji wa bodi ya utalii nchini Kenya Betty Radier waliwaongoza wadau wengine kuwakaribisha wageni hao. Bodi ya utalii nchini imesema kuwa safari za ndege hiyo zitakuwa siku za Jumanne, Alhamisi, Jumamosi na Jumapili kuelekea Mombasa na kupelekea safari za ndege hiyo kwa jumla kuwa 25 kila wiki kuelekea Doha na Qatar.
Elephant Calf in Distress after being Abandoned by it’s Family – Salt Lick Lodge, Kenya
A small herd of elephants with a calf that we estimated to be less than 3 days old had come to drink at the waterholes in Salt Lick Lodge in Taita Hills Game Sanctuary in Kenya. As the herd was drinking the calf slipped and fell into the waterhole and could not get out. The herd members unsuccessfully tried to help the calf out then hopelessly walked away but the mother elephant and two other elephants were a little hesitant so they stopped about 100 meters away from the waterholes. All this time the calf was trumpeting in distress. Salt Lick Lodge staff helped the baby elephant out and set it out to go to it's parents but to every one’s amazement the calf kept coming back to where we all were and went ahead to touch some of the tourists with her little trunk then trumpeting again in distress – I will say it was a very loud sound coming from such a small animal! While all this was happening the mother elephant walked away abandoning the calf. Taita Hills Game Sanctuary Rangers were called in, they put the calf on their vehicle and re-united it with the rest of the herd who by then had all walked a couple of a hundred meters away ... happy ending it was!
Siku Njema Tours and Safaris!
T4D Kenya - Clip 3 - Il Ngwesi Cultural Manyatta
A special visit to the Il Ngwesi Cultural Manyatta..to understand more about Maasai culture, ritual and way of life...
T4D Kenya - Clip 2- Il Ngwesi Community Lodge
Silvia's and Vincenzo's journey starts at Il Ngwesi Community Lodge in Laikipia: the mother of community based tourism in Kenya..a fantastic place to get in contact with nature, wildlife and ...
Live sounds and pictures from Mpeketoni
Live sounds and pictures from Mpeketoni
Watch KTN Live
Follow us on
Like us on
15 SWALE IBRAHIM KUTHIRISHENI KUMSWALIA MTUME 12 04 2013 15
CONTACT ME AT.....
SWALA YA MGONJWA NA MSAFIRI
Mradi wa maji Kajiado
Tatizo la maji katika kaunti ya Kajiado limekuwa donda sugu. Ukame wa mara kwa mara ukilazimisha wenyeji kufunga safari ndefu kutafuta maji. Mwanahabari wetu Ben Kirui alizuru Kajiado na anaangazia jinsi serikali ya kaunti inakabiliana na changamoto hii.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
Al Habib Omar katika masjid Jamii malindi Zanzibar 2
Al Habib Omar katika masjid Jamii malindi Zanzibar 2
with CameraFi Live
Asha Mwaimu
Nurse at Kisosora Dispensary, Tanga, Tanzania
WASHIRIKI WANNE (4) WALIOPITA KWENYE USAHILI WA MISS SHILAWADU DODOMA | WAELEZA FURAHA ZAO
Washiriki wanne waliopita kwenye hatua ya kwanza Miss shilawadu 2019 Dodoma waeleza furaha zao kupata nafasi hizo.
Watoto 10 mastaa tanzania
ili uweze kuwa mmoja kati ya wengi wanaojishindia gari nyumba pikipiki,smartphone na pesa taslim karibu pia ujiunge kwa email yako katika site yetu kwa kubonyeza link hapa chini
kumbuka kizuri kula na nduguyo
Subscribe kwa channel yetu kwa mengi yanayojili kila siku
Ngai tv kaa kistaa
Povu