St. Joseph's Cathedral, Dar es Salaam - Tanzania
St. Joseph's Cathedral, Dar es Salaam - Tanzania
Aleluya Kuu ikiimbwa na UKWAKATA JIMBO KUU DAR ES SALAAM...St. Joseph Cathedral
Sherehe ya Jumatatu ya Pasaka... UKWAKATA
Santino playing David B. Wasonga piece on Yamaha EL 90 at st Joseph cathedral Dar es salaam
Swahiili Catholic Melodies
NKAKIGAMBA
TUNAIMBA POPOTE KWA LUGHA YEYOTE. KWAYA KUU YA MT. YOSEFU
Ee Bwana Unifadhili - Joseph Makoye [Kwaya ya Familia Takatifu Kanisa Kuu la Mt Yosefu - DSM]
Ee Bwana Unifadhili ni utunzi wake Marehemu Joseph Makoye ukiwa ni moja kati ya tungo zake nyingi za Dini.
Nyimbo hii ina lengo la kutafakari fadhili na Ukuu wa Bwana kwa wanadamu.
Ee Bwana unifadhili maana nakulilia wewe mchana kutwa kwa maana wewe Bwana u mwema umekuwa tayari kusamehe na mwingi wa fadhili kwa watu wote wakungojao.
wimbo huu umeimbwa na Kwaya ya Familia Takatifu Kutoka Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu (Saint Joseph's Cathedral) Jimbo kuu la Dar es Salaam na kurekodiwa (shooting) na JUGO MEDIA.
Wasiliana nasi kupitia namba za simu 0755 816669/0757560764
Kwaya Kuu ya Mt Yosefu
Kilele cha mwaka wa shukrani miaka 85 ya utume wa uimbaji wa kwaya kuu ya Mt. Yosefu Jimbo kuu la Dar es salaam. Kilichofanyika jumapili ya tarehe 7/7/2019 katika Parokia ya Mt.Yosefu.
MWANAKONDOO BY.FR MALEMA LUI MWANAMPEPO
SIKU YA KILELE CHA MWAKA WA SHUKRANI
MIAKA 85 YA UTUME WA UIMBAJI (1933 - 2018)
protestant cathedral... Dar es Salaam, Tanzania (Subsaharian Africa)
WAAMBIENI WALIO NA MOYO WA HOFU - JOSEPH MAKOYE
Karibu mpenzi mtazamaji wa Chanell yetu ya Kwaya ya Familia Takatifu kutoka Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Leo tunakuletea nyimbo mbalimbali tulizoimba katika Ibada ya Misa Takatifu iliyofanyika katika Parokia ya Mtakatifu Yohane mtume na Mwinjili Tegeta katika kushirikiana na kuwaunga mkono ndugu zetu wa kwaya ya Damu Takatifu ya Yesu katika uzinduzi wa Album yao mpya. Endelea kutazama na usisahau KUSUBSCRIBE NA KUSHARE CHANEL YETU. Mungu akubariki.
St Joseph Cathedral
This is a flight at St Joseph Cathedral in Baton Rouge.
UTAPENDA! UNO ya HARMONIZE IMEKUTANA na WAKALI Wake Kutoka ST JOSEPH..
UTAPENDA! UNO ya HARMONIZE IMEKUTANA na WAKALI Wake Kutoka ST JOSEPH..
Wanafunzi wa Shule ya Sekondaari ya St. Joseph's Cathedral mapema leo wamesherehekea hafla fupi ijulikanayo kama Family Day ambayo imefanyika katika Hosteli zao zilizopo maeneo ya Don Bosco Osyter Bay jijin i Dar es Salaam,Katika hafla hiyo fupi wanafunzi hao wameonesha vipaji mbalimbali ikiwemo kuimba nyimbo, kuigiza na mambo mbalimbali.
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA
:
GLOBAL RADIO TV:
GLORIA IN EXCELSIS DEO - UTUKUFU KWA MUNGU JUU - KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU ST JOSEPH CATHEDRAL DSM
Tumsifu Yesu Kristu,
Tunaendelea kuwakaribisha kujipatia album yetu mpya ya video inayoitwa HERI KUCHAGUA JINA JEMA. Wimbo huu unaoitwa GLORIA IN EXCELSIS DEO - UTUKUFU KWA MUNGU JUU na kuimbwa na KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU KUTOKA KANISA KUU LA MTAKATIFU YOSEFU JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM (SAINT JOSEPH'S CATHEDRAL) ni utunzi wake marehemu Charles Saasita ambaye ni mmoja kati ya watunzi mahiri sana katika nyannja hizi za mziki Mtakatifu Tanzania, baadhi ya nyimbo zingine alizotunga ni kama Hiki ni chakula na Subira ya Mkulima.
Album hii imesheheni nyimbo kemkem ambazo ni
1. Mfanyieni Bwana Shangwe - P.F Mwarabu
2. Aliyeacha nyumba - Celestine Kapama
3. Aleluya Mshukuruni Bwana - Charles Saasita
4. Gloria - Antonio Vivald
5. Heri kuchagua jina jema - Richard Mloka
6. Ave Maria - Bach/Gounod
7. Tufuate Mfano - Fortunatus B. Mallya
8. Miaka 150 ya Ukristo Tanzania - David Benjamin Wasonga
9. Mwimbieni Bwana - Celestine Kapama
10. Nimekutumaini - Joseph Makoye
Kwa mahitaji ya album hii wasiliana nasi kwa simu namba +255755816669/0659557769
Gloria in excelsis Deo
Gloria, gloria, gloria, gloria
In excelsis Deo, in excelsis Deo,
Gloria, gloria, gloria, gloria in excelsis Deo,
Gloria, gloria in excelsis Deo,
Gloria in excelsis, Gloria in excelsis Deo,
Gloria in excelsis Deo,
In excelsis,
Gloria in excelsis Deo!
UZINDUZI WA VIDEO YA UKUU WA MUNGU
VIDEO MAALUM KWAAJIRI YA HITIMISHO LA MWAKA WA SHUKURANI MIAKA 85 YA KWAYA KUU YA MT. YOSEFU KANISA KUU LA JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM. (1933 - 2018 )
UZINDUZI UTAFANYIKA JUMAPILI YA 3 YA MWAKA ''A'' WA KANISA TAREHE 26/01/2020. KATIKA IBADA YA MISA YA KWANZA NA YA TATU KANISA KUU LA MT. YOSEFU.
STUDENT DAILY ROUTINE PART 2
#stjchs #dailyroutine
This is a summary of the general students daily routine at St. Joseph's Cathedral High School. This first part shows a boy (Mohamed Ateri) on his normal daily routine. He also talks and expresses how the life at school affects his in general.
TWITTER:
INSTAGRAM:
Please subscribe for more of about our school
CHANZO NA UHALALI WA KARISMATIKI KATIKA KANISA KATOLIKI - KATEKESI MTANDAONI | EPSODE 3
UJE BWANA KUTUOKOA - JOSEPH MAKOYE
Karibu mpenzi mtazamaji wa Chanell yetu ya Kwaya ya Familia Takatifu kutoka Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Leo tunakuletea nyimbo mbalimbali tulizoimba katika Ibada ya Misa Takatifu iliyofanyika katika Parokia ya Mtakatifu Yohane mtume na Mwinjili Tegeta katika kushirikiana na kuwaunga mkono ndugu zetu wa kwaya ya Damu Takatifu ya Yesu katika uzinduzi wa Album yao mpya. Endelea kutazama na usisahau KUSUBSCRIBE NA KUSHARE CHANEL YETU. Mungu akubariki.
Maneno ya wimbo
UJE BWANA KUTUOKOA
/:Uje uje uje Bwana kutuokoa://
1.Huishikwa kweli milele, huwafanyia hukumu wote walioonewa, Bwana huwafungua waliofungwa.
2.Bwana huwafumbua macho waliopofuka; Huwainua walioinama, Bwana huwapenda wenye haki, Bwana huwahifadhi, huwahifadhi wageni.
3.Huwategemeza yatima na mjane ba,i njia ya wasio haki huipotosha; Bwana atamiliki milele Mungu wako ee Sayuni.
Wanafunzi wa st joseph cathedral high school
Wanafunzi wakicheza nyimbo
SIO DHAMBI KUMWAMBIA MTU KAMA NI MZURI | WIKI YA NENO LA MUNGU - SIKU YA 1 20/01/2020
Karibu mpenzi mtazamaji wa Saint Joseph's Cathedral TV leo tunawaletea semina ya wiki ya neno la Mungu ambayo imeanza leo jumatatu tarehe 20/01/2020 na itaendelea kwa muda wa wiki nzima hadi ijumaa tarehe 25/01/2020 na kuhitimishwa siku ya Dominika ya Tatu ya Mwaka A wa Kanisa ambapo Baba Mtakatifu Papa Francis ameagiza Dominik ya Tatu ya Mwaka kuwa Dominika ya Neno la Mungu. Semina ya leo imeongozwa na Padre Dokta Joseph Matumaini, Paroko wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam.Tunawakaribisha wote tujumuike pamoja.
Inueni vichwa vyenu - G.F Handel [Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM]
Moja ya nyimbo iliyopo katika ALbum ya Handels Messiah iliyorekodiwa na Kwaya ya Familia Takatifu Kutoka Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
ALELUYA MSHUKURUNI BWANA NA C SAASITA - KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU ST JOSEPH CATHEDRAL DSM
Tumsifu Yesu Kristu,
Tunaendelea kuwakaribisha kujipatia album yetu mpya ya video inayoitwa HERI KUCHAGUA JINA JEMA. Wimbo huu unaoitwa ALELUYA MSHUKURUNI BWANA na kuimbwa na KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU KUTOKA KANISA KUU LA MTAKATIFU YOSEFU JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM (SAINT JOSEPH'S CATHEDRAL) ni utunzi wake marehemu Charles Saasita ambaye ni mmoja kati ya watunzi mahiri sana katika nyannja hizi za mziki Mtakatifu Tanzania, baadhi ya nyimbo zingine alizotunga ni kama Hiki ni chakula na Subira ya Mkulima.
Album hii imesheheni nyimbo kemkem ambazo ni
1. Mfanyieni Bwana Shangwe - P.F Mwarabu
2. Aliyeacha nyumba - Celestine Kapama
3. Aleluya Mshukuruni Bwana - Charles Saasita
4. Gloria - Antonio Vivald
5. Heri kuchagua jina jema - Richard Mloka
6. Ave Maria - Bach/Gounod
7. Tufuate Mfano - Fortunatus B. Mallya
8. Miaka 150 ya Ukristo Tanzania - David Benjamin Wasonga
9. Mwimbieni Bwana - Celestine Kapama
10. Nimekutumaini - Joseph Makoye
Kwa mahitaji ya album hii wasiliana nasi kwa simu namba +255755816669/0659557769
MANENO YA WIMBO (MUSIC LYRICS)
ALELUYA MSHUKURUNI BWANA – SAASITA
Aleluya mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, tangazeni sifa zake hubirini pande zote semeni ya kuwa Bwana yu mwema
Fadhili zake ni za milele na rehema zake ni kwa vizazi.
1. Ni nani awezaye kuyanena matendo makuu ya Bwana kuzihubiri sifa zake zote
2. Waheri wazishikao hukumu na kutenda haki na kutenda haki siku zote
3. Ee Bwana unikumbuke na mimi kwa kibali chako kwa watu wako unijilie kwa wokovu wako.