Wataliisafaris trip 2019 Tanzania and Uganda
Brief Video capturing some of the moments while on African safari in Tanzania and Uganda 2019.Signup for next trip 2020.
Music used
Zebra Land by Jonny Easton
Link:
Check out his channel Link:
Video Taken on behalf of WataliiSafaris by
Mark Aikiriza
Watalii Trip 2019 Tanzania Safari and Uganda Gorilla trekking
wataliisafaris.com
hello@wataliisafaris.com
Uganda Airlines Maiden Flight To Zanzibar
#NBSLiveAt9 #NBSUpdates
For more of these videos, follow the link below to subscribe to our channel today.
bit.ly/NextMediaUG
Download the app on
iOS: bit.ly/nbstvapp
Android: bit.ly/nbstvandroid
Follow Us on
Twitter:
Facebook:
Youtube: bit.ly/NextMediaUG
Ajali yaua watalii wanne Arusha, yajeruhi wawili
Watu Sita wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa kwenye ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Nanja Wilayani Monduli Mkoani Arusha baada ya gari la Watalii aina ya Toyota land cruiser kugongana uso kwa uso na gari la mizigo aina ya Semi trela lililokuwa likitokea Mkoani Kigoma kuelekea Nchini Kenya.
Katika ajali hiyo iliyotokea leo Septemba 02,2018 majira ya saa tatu asubuhi waliopoteza maisha ni Watalii Wanne, Dereva moja na mpishi waliokuwa kwenye gari ya Watalii yenye namba za usajili T 418 AHX mali ya kampuni ya Tabia Safari iliyokuwa ikitokea Mjini Arusha kuelekea hifadhi ya Wanyama ya Tarangire.
AJALI ILIVYOUA WATALII WA KIGENI WANNE NA WATANZANIA WAWILI ARUSHA
Ziwa Rhino Sanctuary - Uganda (Rhino Fund Uganda)
Rhino Fund Uganda is a non-governmental organization whose sole objective is to successfully re-introduce the rhino to Uganda. Rhino Fund Uganda represents a voluntary effort to help restore Ugandas wildlife and ensure the existence of rhinos in Uganda for future generations.
GLP Films
Founded in 2008, GLP Films is an award-winning content marketing agency dedicated to authentic storytelling within the travel industry (e.g. adventure, outdoor, food, culture, wildlife, sustainability). To date, GLP has produced and distributed 200+ videos from 30+ countries in Latin America, Africa, Asia, and North America. In addition, GLP provides a unique set of value-add services for global partners — content strategy, brand development, destination storytelling, stakeholder development, content marketing campaigns, and more.
For more information, visit our sites:
Website:
Facebook:
Instagram:
YouTube:
Twitter:
Follow GLP on location and tag your photos/videos with #travelunscripted to be featured on GLP's Instagram page.
Credits
Produced by GLP Films
Director: Rob Holmes
Videographer & Editor: Matt Weatherly
Associate Producer: Jenny Ersbak
Marketing Strategy: Laura Knudson
BREAKING: Ajali Nyingine Ilivyoua Arusha Leo! Gambo Atoa Neno
BREAKING: Ajali Nyingine Ilivyoua Arusha Leo!
Gari ya watalii imepata ajali mbaya Jijini Arusha.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha (SACP) Ramadhani Ng’anzi, amethibitisha kutokea kwa ajali ya gari iliyohusisha Lori na gari ya kubeba watalii.
Ajali hiyo imetokea eneo la Mti mmoja Wilayani Monduli.
Kamanda Ng’anzi amesema gari aina ya Land Cruiser iliyokuwa imebeba watalii imegongana uso kwa uso na Lori la mizigo takribani Kilometa 10 kutoka njia panda ya Monduli.
”Nipo eneo la ajali hapa muda huu, tunaendelea na vipimo hapa, nitawajulisha kwa undani lakini vifo vipo ila bado hatujajua ni idadi gani”, amesema.
Taarifa za awali zinaeleza takribani watu Sita wamefariki katika ajali hiyo.
Install GlobalPublishersApp Android: iOS: Subscribe FACEBOOK: TWITTER:
://twitter.com/GlobalHabari Visit Suazi1 WEBSITE: FACEBOOK: TWITTER:
Spear Motors celebrates 40 years
The Chairman, Spear Group of Companies Prof. Gordon Wavamunno asks government to provide equal opportunities to both local and foreign investors. According to him, government gives more incentives to foreign investors who end up exploiting Ugandans, yet local investors are not given due attention.
Prof. Wavamunno was speaking as Spear Motors celebrated 40 years of existence in Uganda.
Mbio za nyika kivutio cha watalii kisiwani Pemba
AJARI MBAYA YATOKEA TENA ARUSHA
BREAKING NEWS:WATALII WAMEFARIKI KWENYE AJALI MBAYA LEO HII MKOANI ARUSHA.
Please subscribe now on Our YouTube channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time.
#middlesimba
#WeAreEverywhere
Ajali mbaya imetokea Arusha maeneo ya usa river baada ya gari kuacha road na kugonga mti...
ARUSHA BILA AJALI NI LAZIMA
Mkuu wa Usalama barabarani Mkoani Arusha Charles Bukombe amekamata gari la kampuni ya Costiline linalofanya safari zake kati ya Arusha na Simanjiro Mkoani Arusha na Manyara kwa kujaza abiria zaidi ya 80 kwenye gari tofauti na Idadi inayotakiwa kwenye idadi inayotakiwa
Maandalizi ya mbio za Nyika yakamilika
Maandalizi ya uenyeji wa awamu ya saba ya mbio za nyika mwaka 2013-2014 ambayo yatajumuisha washiriki zaidi ya 12 kutoka nchi za kigeni yame kamilika
Washiriki kutoka nchi ya bahrain, ethiopia, eritrea na uganda wanatarajiwa kuwapa wakenya upinzani mkali katika kinyang'anyiro hicho kitakachoandaliwa februari tarehe 15 mwaka huu. Mbio hizi za nyika ambazo huenda mmarekani mo farah akashiriki zitatumika kuchagua kikosi kitakachowakilisha kenya katika shindano la uwaniaji wa ubingwa wa mbio za nyika afrika yatakayoandaliwa kampala uganda tarehe 16 mwezi machi mwaka huu. Wadhamini wa mbio hizi kcb wametoa shilingi milioni 12 kufanikisha mbio hizi huku shirikisho la riadha nchini likihakiki kuwa mikakati yote imetiliwa maanani.
Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on
Follow us on
Like us on
SAFARI YA MTO RUVUMA KUTOKA MILIMA MATOGORO HADI BAHARI YA HINDI
Mto Ruvuma umeanzia katika milima ya Matogoro mjini Songea mkoani Ruvuma hadi Bahari ya Hindi
Ndege Iliyowabeba Watoto wa Lucky Vincent Ikitua Kutoka Marekani
SUBSCRIBE NOW
WATOTO watatu wa Shule ya Msingi Lucky Vincent waliokuwa majeruhi wa ajali iliyotokea Karatu na kwenda kutibiwa nchini Marekani, tayari wamewasili leo asubuhi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mjini Moshi na kupokelewa na mamia ya Watanzania.
Doreen, Sadia na Wilson walikuwa wakitibiwa katika Hospitali ya Mercy, Sioux City nchini Marekani wamewasili kwa ndege ya Samaritan's Purse wakitokea nchini humo baada ya kupata nafuu. Wametua Tanzania wakiwa wenye furaha na faraja kubwa.
Mamia ya wakazi wa Arusha, wazazi, ndugu, jamaa, marafiki, wanafunzi wenzao na viongozi mbalimbali wa serikali wamefika kwa ajili ya kuwapokea watoto hao. Baadhi ya viongozi hao ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, Mbunge Lazaro Nyarandu makatibu tarafa wa mikoa na viongozi wa wilaya za mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.
Wametua nchini wakiwa na wazazi wao, madaktari na watalii waliowaokoa siku ya tukio ikiwa ni jumla ya wajumbe 16.
Watoto hao ni miongoni mwa wanafunzi wa shule ya Lucky Vincent walionusurika kifo katika ajali ya gari iliyotokea mkoani Arusha mwezi Mei mwaka huu, ambapo inakadiriwa idadi ya waliopoteza maisha ni 33 ikijumuisha wanafunzi na walimu waliokuwa katika gari hilo.
Mtandao wa Global Publishers unawashukuru madaktari na kila aliyetenga muda wake kuwaombea na kuchangia chochote kusaidia matibabu ya watoto hao.
Basi linadaiwa kubeba zaidi ya abiria 70 badala ya 52
Basi la mauti kwa jina Homeboyz linalomilikiwa na kampuni ya Western Cross Express , lililohusika katika ajali ya mapema leo ambapo watu 55 wamefariki, linadaiwa kuwa kuwa lilikuwa limebeba zaidi ya abiria 70 kinyume na hitaji ya abiria 52.
Kama anavyotuarifu Kimani Githuku manusura wa ajali hiyo wamesimulia jinsi safari yao ilijawa na kisirani na ilionekana kuwa safari ya kifo tangu mwanzo wake.
AJALI MBAYA ILIYOTOKEA LEO USIKU IGUNGA., BASI LA CITY BOY
Basi la kampuni ya City boy linalofanya safari zake kati ya Karagwe na Dar Es Salaam usiku wa leo April 4,2018 limepata ajali ambapo watu 12 wapoteza maisha na wengine 46 kujeruhiwa katika eneo la Makomero wilayani Igunga, mkoani Tabora.
Akithibitisha na kutoa taarifa za awali za kutokea kwa ajali hiyo Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora SACP Willprod Mtafungwa amesema ajali hiyo imetokana na basi hilo kugongana uso kwa uso na lori la mizigo aina ya Fuso lililokuwa linatokea Singida hivyo basi hilo likaacha njia na kupinduka.
Mtafutwa amesema kuwa mbali na kuua pia abiria wengine wawili kati ya 46 hali zao sio nzuri wanatarajiwa kupelekwa hospitali ya rufaa ya Bugando jijini Mwanza kwa matibabu zaidi
Majeruhi wa ajali hiyo wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya wilaya ya Igunga.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa 2 usiku na dereva wa lori hilo kukimbia kusikojulikana hivyo jeshi la polisi linafanya juhudi za kumtafuta dereva wa lori hilo.
Na taarifa kamili toka jeshi la Polisi litatoa asubuhi.
SUBSCRIBE NAMI
Ajali ya Basi iliyotokea Arusha
Ajali iliyotokea kwenye msafara Wa polepole. Usisahau kusubscribe