Watu Safaris / Emerging Market Entrepreneurship / Tanzania: Interview with Majenda Mhutila
In this interview with Majenda Mhutila, he describes how he developed his passion for nature tours and founded his own safari company, Watu Safaris. Watu Safaris is based in Morogoro, Tanzania, adjacent to Mikumi National Park. My brother and I had a great time on the tour!
Watu 5 wamefariki huku wengine 26 wakijeruhiwa katika ajali Morogoro
Watu 5 wamefariki huku wengine 26 wakijeruhiwa katika ajali ya bus la kampuni ya Safari Njema baada ya kugongana uso kwa uso na Lori aina ya Tata mali ya kampuni ya Alliance One katika eneo la Nanenane manispaa ya Morogoro.
MAUAJI ULANGA MKOANI MOROGORO
WANANCHI WA ENEO LA MAGUBA WILAYANI ULANGA MKOANI MOROGORO WAMELALAMIKIA JESHI LA WANANCHI NA ASKARI WA MGAMBO KUTUMIA NGUVU KUPITA KIASI KATIKA DORIA KWA KUWAWAUWA WATU WATANO WASIO NA HATIA NA KUJERUHI WATU WATATU.
Gesundheitsvorsorge in Morogoro, Tansania
Seit mehr als 30 Jahren unterstützt SEI SO FREI die Gesundheitsvorsorge in der Diözese Morogoro. Der entwicklungspolitische Verein finanziert den Bau von Gesundheitsstationen und Medikamente, die vor allem gegen Malaria notwendig sind. Damit wird in einem der ärmsten Regionen der Erde täglich Leben gerettet.
UDZUNGWA TOUR MOROGORO
Safari hii iliandaliwa na group la WHATSAPP MORO NDIO HOME
Watu 11 wafariki kutokana na mvua Morogoro.
#Morogoro
#ITVTANZANIA
(DONDOO) Safari ya udhamini:Morogoro
(DONDOO) Safari ya Udhamini :morogoro
AIR TANZANIA KUANZA SAFARI AFRIKA KUSINI WIKI HII
Shirika la Ndege ATCL, Linatarajia kuanza safari zake kutoka Uwanja wa Mwalimu Nyerere Dar es salaam kuelekea Nchini Afrika Kusini, Pia Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, ENG, Isack Kamwelwe ameongea na waandishi wa Habari kuwa Serikali ilipanga Mpaka mwaka 2022 itanunua ndege nane lakini zote zita kamilika mwaka huu 2019
Motorbiking Tanzania: Turiani to Morogoro Part 2 - Acacias and Euphorbias
Following the first tracks found via Google Earth through red dirt, acacias and Euphorbia Candelabras. Fast and fun.
Motorcycles in Tanzania: Turiani to Morogoro part 1 Through the Sugarcane Valley
Second full day of our 3 night trip from Dar to Bagamoyo, Turiani and Morogoro. We leave early enough in search of Google Earth tracks I'd programmed into the GPS, but get distracted by a beautiful track through smallscale sugar fields in a river valley at the base of the mountain. Brilliant riding.
Morogoro Mpaka Dar Es salaam.
Tazama Safari Ya kutoka Morogoro kwenda Dar es salaam.
Yote yaliojili njiani utaweza kuyaona Na pia nimekuonesha stendi nzuri na mbaya sana katika hii miji miwili.
Follow me on:
WhatsApp: +255657973727
FULL KIPINDI-KUREJEA KWA USAFIRI WA TRENI ZA MIZIGO KUTOKA TANZANIA HADI UGANDA-TAZAMA SAFARI NZIMA
Hiki ni kipindi Maalum kitakachokuonesha safari yoote iliyoanzia Bandari ya Dar Es Salaam hadi Port Bell Ugand.
Shirika la Reli limetekeleza maagizo ya Rais Magufuli ya kutakiwa kuifungua njia hiyo ya kutoka Dar Hadi Uganda, kutokana na kusimama kwa takribani miaka kumi bila kufanya kazi.
TRC RELI TV, INAKULETEA KIPINDI CHOOTE SASA TAZAMA,
Maisha halisi ya Wamaasai Village Morogoro Tanzania
JIBU LA KIGWANGALLA KWA GREEN MILES SAFARIS
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
Usafiri Wa Mabasi Kwenda Morogoro Bureeeeeeee #Awe
#ChomozaTV Hatunajambodogo #Unclejimmytz
Kuelekea Kwenye Event Ya #AWE Inayo Fanyika Morogoro Usafiri Ni Bure Kwenda Na Kurudi. Manager G Maarufu Afafanua
MOROGORO NUJOASHA HOTEL -TANZANIA
KARIBU-WELCOME
Morogoro 2
Day 1,Still attempting to climb K1
GLOBAL HABARI: AJALI! Yaua 5 Morogoro, Nyingine Yajeruhi Iringa
GLOBAL HABARI: AJALI! Yaua 5 Morogoro, Nyingine Yajeruhi Iringa
Basi la Ndenjela lenye namba za usajili T491 CJV Yutong F11 lililokuwa linatoka Mbeya kwenda Dar es salaam, limepata ajali leo maeneo ya Kitonga mkoani Iringa.
Chanzo cha ajali bado hakijafahamika ila baadhi ya abiria wajeruhiwa kuhusiana na ajali hiyo na hakuna vifo.
Install #GlobalPublishersApp
Android:
iOS:
Subscribe
FACEBOOK: TWITTER: Visit Subscribe
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… WEBSITE: FACEBOOK: TWITTER: INSTAGRAM:
KAMPUNI YA RELI TANZANIA (TRL) IMEZINDUA SAFARI YA TRENI YA MIZIGO
KAMPUNI YA RELI TANZANIA(TRL) IMEZINDUA SAFARI YA TRENI YA MIZIGO YA MPANGO WA CHAKULA DUNIANI(WFP) IENDAYO DODOMA KATIKA KITUO CHA MALINDI BANDARI ILIYOPO DAR ES SALAAM.....AKIZINDUA SAFARI HIYO YA TRENI YA MIZIGO MKURUGENZI MTENDAJI BW. MASANJA KADOGOSA AMESEMA KUWA USAFIR WA BLOCK TRAIN UNA LENGO LA KUMHUDUMIA MTEJA KWA KASI NA MUDA UNAORIDHISHA KUFIKISHA BIDHAA KWA WALAJI WAKE.
UCHAMBUZI: AJALI ILIYOUA 60 MORO / CHADEMA wakanusha Kifo cha Katibu wao
UCHAMBUZI AJALI ILIYOUA 60 MORO/CHADEMA wakanusha Kifo cha Katibu wao
LORI la mafuta limelipuka asubuhi hii Agosti 10, 2019, maeneo ya Msamvu mkoani Morogoro na kuua watu zaidi ya 57 wakati wakijaribu kuchota mafuta baada ya gari la kubebea mafuta kupata ajali mjini Morogoro. Inasemekana pia watu 55 wamepata majeraha sehemu mbalimbali za mwili kutokana na moto huo.
Mashuhuda wanadai moto ulianza baada ya mtu mmoja kuchomoa betri ya gari na kusababisha cheche zilizoibua moto huo.
MKURUGENZI wa Idara ya Habari (Maelezo) ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt Hassan Abbas, na Msemaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole, leo Agosti 10, 2019, wametoa kauli zao kupitia akaunti zao za Twitter, kuhusiana tukio la lori lenye kubeba mafuta kupinduka mjini Morogoro eneo la Msamvu na baadaye kulipuka na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 60 na kujeruhi 70.
Wengi wa waliofariki ni wale waliokuwa wakichota mafuta kutoka katika lori hilo.
Katika akaunti yake huo, Dkt. Abbas amesema:
”Tumepokea kwa masikitiko taarifa kuhusu ajali ya lori la mafuta, Morogoro, iliyosababisha moto na kuunguza watu kadhaa. Mkuu wa Mkoa na timu za uokoaji wanaendelea kukabiliana na hali katika eneo la tukio. Taarifa kamili kuhusu idadi ya vifo na majeruhi itatolewa badae.
Tunaendelea kutoa wito kwa wananchi kukaa mbali na eneo la ajali hasa yanapohusika magari au vyombo vingine vya usafiri vilivyobeba vitu vinavyoweza kuripuka kama mafuta.”.
Naye Polepole amesema: Uongozi wa @ccm_tanzania umepokea kwa mshtuko taarifa za ajali ya lori huko Msamvu Morogoro ambayo imegharimu maisha ya watanzania.
Rai yetu kwa Jeshi la Polisi na Zimamoto ni kuendelea kutoa elimu na kusimamia utii wa sheria. Tunatoa pole kwa wafiwa na majeruhi kupona haraka
#AJALIYAMOTO
Watch More Videos here: Watch More Videos here: Website: globalpublishers.co.tz FaceBook: facebook.com/globalpublishers Instagram:
instagram.com/globalpublishers Twitter: twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: Install Global App: iOS: