Arusha: Wadau kuendeleza uhifadhi mazingira kumuenzi Dk.Mengi
#RIPMENGI
Tazama raha ya Mbio za Baskeli za 'Tour Tanzania' zilizoandaliwa na Afrika Mashariki Fest
Ni mashindano yaliyoandaliwa na Afrika Mashariki Fest, na kufanyika nchini Tanzania katika jiji la Dar es Salaam na Zanzibar Aprili 17, 2018.
Lengo la mashindano hayo yaliyoandaliwa na vijana ni kuhifadhi mazingira na kuhamasisha Amani katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Tazama jinsi watanzania walivyoyapokea mashindano hayo ambayo yalihusisha mataifa mbalimbali.
Utalii wa ndani unaanza na Mtanzania mwenyewe
Jivunie utanzania
utalii wa ndani ni moja kati ya majukumu muhimu ya mtanzania katika harakati za kutangaza utalii wetu
ili wakati ukisema the beautful Tanzania ujue una maanisha nini....
follow our sponsor
GLOBAL HABARI OCT 17: MKUTANO SADC Kuanza ARUSHA, MAWAZIRI wa UTALII na MAZINGIRA Kushiriki
GLOBAL HABARI OCT 17: MKUTANO SADC Kuanza ARUSHA, MAWAZIRI wa UTALII na MAZINGIRA Kushiriki
Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa mawaziri wa sekta ya mazingira, maliasili na utalii kwa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) ambao utafanyika kwenye kituo cha kimataifa cha Mikutano mkoani Arusha (AICC)
Akizungumza na wandishi wa Habari mkoani Geita, Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Constantine Kanyasu ameelezea dhima kubwa ya kufanyika kwa mkutano huo
#HABARI
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
---------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
GLOBAL RADIO TV:
EXCLUSIVE INTERVIEWS:
Gharama na utaratibu wa kufuzu kuwa rubani
Safari ya kuwa rubani huanza moyoni mwako kabla ya kuzingatia vigezo vingine.Ni safari inayohitaji mtu mwenye uwezo wa wastani katika masomo kinyume na fikira za wengi kuwa ni lazima kufuzu kwa alama za juu.
Iwapo unataka kuwa rubani unahitajika kufuzu kwa angalau alama ya C+ kwenye mtihani wa kitafia wa KCSE ama alama ya C kavu kwa wanafunzi wa IGCSE vilevile C+ katika hesabati na kiingereza na sayansi au somo lolote moja kando na hayo ni lazima uwe mtu mwenye kuhimili mazingira makali ya kazi kwani urubani ni kazi inayohitaji akili kuchangamka.
Arusha Holiday | Ilboru., Arusha, Tanzania | AZ Hotels
Arusha Holiday | Ilboru., Arusha, Tanzania
☞ AZ Channel:
© Booking: booking.com/hotel/tz/arusha-holiday.html
Serengeti National Park - Tanzania
Scenes from Serengeti National Park in Tanzania. For more information on Tanzania's National Park go to tanzaniaparks.com
DC atishwa kuvuliwa cheo chake, aagiza kukamatwa mwekezaji popote alipo
Mkuu wa Wilaya ya LONGIDO FRANK MWAISUMBE ameliagiza jeshi la polisi Wilayani humo kumkamata mmiliki wa kampuni ya uwindaji ya Green mile safari kufuatia kampuni hiyo kushindwa kulipa shilingi milioni 329 zinazodaiwa na vijiji Kama tozo ya zaidi ya miaka MINNE pamoja na kukiuka masharti ya umiliki wa vitalu.
Akizungumza katika kikao Cha viongozi wa vijiji 23 Waliofika ofisini kwake kuwasilisha malalamiko dhidi ya mwekezaji huyo MWAISUMBE amesema hatua hiyo inatokana na mwekezaji huyo kutotoa ushirikiano kwa viongozi hata pale anapotakiwa kutekeleza matakwa ya sheria katika vikao halali vya Wilaya.
Viongozi wa vijiji 23 vinavyopakana na kitalu Cha uwindaji Cha kampuni ya Green mile safari wakiwa wamejitokeza katika kikao na viongozi wa Wilaya, kubwa ni kuwasilisha malalamiko yao dhidi ya mwenyekezaji wa kitalu Cha uwindaji.
Pia baadhi ya viongozi hao wamesema katika kitalu taratibu za uhifadhi hazizingatiwi jambo linalotoa mwanya wa uharibifu wa mazingira ikiwemo wanyama kuuawa bila ulinzi wowote.
Jumuiya ya EAC yatimiza Miaka 20, maadhimisho yafanyika Arusha, Tanzania
Jumuiya Ya Afrika Mashariki Inatimiza Miaka 20 Tangu Kuundwa Upya Baada Ya Jumuiya Ya Mwanzo Kusambaratika Mwaka 1977. Hata Hivyo Tathmini Ya Miaka 20 Inaonesha Kuwa Jumuiya Hiyo Bado Ina Safari Ndefu Ya Kutimiza Lengo La Kuanzishwa Kwake. Maadhimisho Ya Sherehe Hiyo Ya Miaka 20 Yamefanyika Katika Makao Makuu Ya Jumuiya Hiyo Mjini Arusha Nchini Tanzania.
#Kenya #KTNNews #KTNPrime
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
Follow us on Twitter:
Like us on Facebook:
For more great content go to and download our apps:
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Utalii na magari ya zamani tour
Sady Gama - Arusha Tanzania
Dola 5000 zamsubiri mshindi wa uhifadhi wa mazingira Tanzania
Wakati nchi wanachama wa mkataba wa kimataifa wa mabadiliko ya tabianchi, COP25 wakikutana huko Madrid, Hispania, nchini Tanzania mashirika ya Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na wadau wameaandaa maonyesho ya siku mbili yatakayoleta pamoja wajasiriamali wanaotekeleza miradi mbalimbali ya kukabiliana au kuhimili mabadiliko ya tabianchi.
UTALII WA NDANI - ARUSHA:WYOMMY 10 PLN HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI 4
ZIARA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI pt4
Tutunze Mazingira (Lets preserve the environment)
Tutunze Mazingira was a production of AangSerian Media Drum project, the first indigenous media program in Northern Tanzania run by local Arusha youth. It was initiated in 2000.The program also works with urban youth realizing the issues of marginalization and development not only touch the rural areas but also the urban settings. Also, in the past few decade alot of indigenous people have been forced to move to urban areas because of poverty, loss of land, drought and development projects. This video is about the destruction of the environment in Arusha,Tanzania delivered in popular youth music form known namely hip-hop. The whole song was produced in Arusha, Tanzania, the home of the world's most rich biodiversity spots. It was produced by Eddy Pius Massawe of Aang Serian Drum project in 2008/2009.
Askari Kutishia Raia Bunduki, Katika hoteli za kitalii
Mwenyekiti wa chama cha waongoza Watalii Tanzania TATO, Wilbard Chambulo amemtaka waziri wa mambo ya ndani Kangi Lugola awasaidie kutokana na polisi wake kukosa ustarabu wanapokwenda katika hoteli za kitalii kutokana na wanachokifanya wanapofika huko wanawatolea watu Bunduki mbele ya wageni jambo ambalo ni udhalilishaji kwa polisi na kuwatia hofu watalii.
Amezungumza hayo katika mkutano wa wadau wa biashara mkoa wa Arusha ambapo mawaziri nane walishiriki na kupokea kero za wafanyabiashara kwa kila wizara zinazowahusu ikiwemo mazingira,mifugo,fedha,utalii,ulinzi n.k
Gambo awahakikishia wafanyabiashara Arusha mazingira salama ya uwekezaji
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
Efatha Ministry ushuhuda wa Mt wa Mungu Dk Morris Cerrulo.
At precious center Kibaha
Di Namite- Utalii (Official Music Video)
Enjoy, Like and Share #Tanzania
#Utalii
#Italy
TANZANIA SAFARI TRIP ! Amazing travel HD
Explore Tanzania with us in our first-ever safari ! We spent 14 days on a wildlife safari in Tanzania visiting the Serengeti, the Ngorongoro Crater & Tarangire National Park and Zanzibar. Filmed on a GoPro and a sony Nex. Just an amazing Honeymoon. Incroyable voyage en Tanzanie et à Zanzibar. Merci à notre famille et à nos amis pour ce fabuleux voyage de noces.
My Instagram:
Halmashauri ya Meru Yaongoza kwa Usafi wa Mazingira
SUBSCRIBE NOW:
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Wanawake, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt Ummy Mwalimu ametangaza miji, majiji na manispaa ambazo zimepongoza katika usafi hapa nchi.
Pia ametangaza hospitali ambazo zimeshinda kwa kuzingatia vigezo vilivyowekwa na wizara hiyo.
Dkt Ummy amewashauri viongozi wa manispaa zote watembelee Manispaa ya Njombe ili kujifunza mbinu za usafi kwani manispaa hiyo imekuwa ikiongoza kwenye suala la usafi karibu kila mwaka hivyo wakapate mbinu jinsi ya kutunza maeneo yao.
WEBSITE:
FACEBOOK:
TWITTER:
INSTAGRAM:
Hali ilivyo baada ya Mvua kuvunja Daraja linalounganisha Wilaya za Arusha
January 18, 2018 Daraja lililopo Makuyuni katika Wilaya ya Monduli limevunjika baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha watu kukaa zaidi ya saa 6 bila usafiri na wanaotoka katika Wilaya ya Karatu na Monduli kukosa usafiri.