EXCLUSIVE: Kisiwa cha TZ tulichoambiwa ni cha Arnold Schwarzenegger
Inawezekana na ulisikia kwamba Mwigizaji maarufu wa dunia Arnold Schwarzenegger anamiliki kisiwa kwenye Mkoa wa Rukwa Tanzania, leo AyoTV imefunga safari mpaka kwenye kisiwa chenyewe.
This is Arusha Villa!
This is Arusha Villa!
Arusha Villa is the home of Good Safari, a travel agency specialized in private, tailor made safari's through the whole of Tanzania.
Small scale, personal attention, good wine and food in a incredibly beautiful surrounding.
Guests of other companies are also very welcome to enjoy Arusha Villa and start and/or finish their holiday in this wonderful place.
Dar es salaam Nightview in Mayfair plaza, Tanzania
Nightview in Mayfair
Waziri Kilimo Apiga Marufuku Wananchi 'Kuuziana Ardhi!'
Waziri Kilimo Apiga Marufuku Wananchi Kuuziana Ardhi!
WIZARA YA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI ZANZIBAR IMESEMA BADO INAENDELEA KUFANYA MAREKEBISHO NA KUFUATILIA UHALALI WA WAMILIKI WA MASHAMBA YA SERIKALI YA EKA TATU BILA KUKIUKA MASHARTI YA MATUMIZI YALIYOKUSUDIWA NA SERIKALI,ILI KUEPUSHA MIGOGORO.
NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI ZANZIBAR, DK MAKAME ALI USSI, AMEYASEMA HAYO BAADA YA KUTEMBELEA MASHAMBA YA SERIKALI YA EKA TATU KATIKA SHEHIA YA MGAGATU, WILAYA YA MKOANI, MKOA WA KASKAZINI PEMBA.
DK, MAKAME AMESEMA, KUNA BAADHI YA MASHAMBA YA SERIKALI YA EKA TATU KWA MUDA MREFU YAMEKUWA YAKIKIUKWA MASHARTI KWA WAMILIKI KUUZIANA KIHOLELA NA KURITHISHANA BILA KUFUATWA TARATIBU ZA KISHERIA
MAPEMA KAIMU AFISA MDHAMINI WIZARA YA KILIMO, MALIASILI, MIFUGO NA UVUVI PEMBA, ISSA NASSOR BAKAR, AMESEMA WIZARA KWA KUSHIRIKIANA NA RAIA WEMA ITAHAKIKISHA MASHAMBA YOTE YANAHAKIKIWA NA KUTUMIKA KWA KUZINGATIA TARATIBU ZILIZOWKWA.
KWA UPANDE WAO WANAKAMATI YA UHAKIKI WA MASHAMBA YA SERIKALI,FAKI KHAMIS AME NA MOHAMMED RASHID ALI, WAMESEMA WAMEGUNDUA MASHAMBA MENGI YA SERIKALI YALIOUZWA NI KUPITIA RIDHAA ZA MASHEHA NA HIVYO KUIOMBA SERIKALI KUSIMAMIA VYEMA ZOEZI HILO KWA KUANGALIA UHALALI WAKE.
Watch More Videos here: Watch More Videos here: Website: globalpublishers.co.tz FaceBook: facebook.com/globalpublishers Instagram: instagram.com/globalpublishers Twitter:
twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: Install Global App: iOS: USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK
Category
Entertainment
Category
Entertainment
MTANZANIA ALIYE SHIRIKI KUTENGENEZA NDEGE MPYA YA TANZANIA BOEING 787-8 DREAMLINER HISTORIA YAKE
VIDEO ZOTE ZA NDEGE MPYA YA TANZANIA BONYEZA HAPA .... Ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner ni ya ukubwa wa wastani, yenye injini mbili inayotengenezwa na kampuni ya Boeing ya Marekani.
Matumizi yake ya mafuta ni wa asilimia 20 chini cha ndege ya ukubwa sawa na huo na ndiyo ndege ya Boeing inayotumia kiwango cha chini zaidi cha mafuta.
Injini zake zimejengwa kwa njia maalumu ili kupunguza sauti ndani na pia nje ya ndege kwa hadi asilimia 60.
Madirisha yake ni makubwa kuliko ya ndege zingine za ukubwa kama huo kwa asilimia 30. Wakati ndege mpya ya shirika la ndege la ACTL ya Boeing 787-8 ilipotua katika uwanja wa mwalimu Julius Nyerere siku ya Jumapili, ni wachache ambao wangedhania kwamba Mtanzania ni miongoni mwa wale walioitengeneza ndege hiyo.
Hatahivyo ukweli ni kwamba bwana George Jonas anayetoka katika mkoa wa Mbeya ni miongoni mwa maafisa wa kiufundi aliyehusika katika utengenezaji wa ndege hiyo yenye viti 262, kwa jina Boeing 787-8 Dreamliner.
Injini za ndege hiyo zimejengwa kwa njia maalumu ili kupunguza sauti ndani na pia nje ya ndege kwa hadi asilimia 60 huku madirisha yake yakiwa makubwa kuliko yale ya ndege zingine za ukubwa kama huo kwa asilimia 30.
Jonas ambaye babaake alikuwa mwanajeshi wa Tanzania aliambia The Citizen nchini humo kwamba amekuwa akihusika katika uundaji wa ndege hiyo tangu 2015 akiwa mfanyikazi wa kampuni ya Boeing, kutoka Marekani ambayo huunda, kutengeza na kuuza ndege, roketi, Setlaiti na makombora.
Marekani imeshindwa kuwarejesha watoto wa wahamiaji kwa wazazi wao
Habari ya mwana huyo wa bi na bwana labani Mwanjisya inaanzia wakati alipokuwa mwanafunzi katika shule ya msingi ya Ubungo.
Ndege ya kmapuni ya BoeingHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Hiyo ilikuwa kati ya mwaka 1985 na 1991, alisema akiongezea kwamba baada ya kukamilisha masomo yake ya shule ya msingi alijiunga na shule ya upili ya Azania mjini Dar es Salaam kwa masomo ya kawaida kabla ya kuelekea shule ya upili ya IIboru mjini Arusha kwa masomo tangulizi ya shule ya upili.
''Nikiwa IIboru, nilisomea sayansi na kushirikisha masomo ya Fizikia, Kemia na Hisabati'', alisema.
Alichaguliwa na kundi moja la raia wa Marekani waliokuwa wakitafuta kijana wa Tanzania aliyekuwa na maono ili kufanya kazi kwa miezi mitatu nchini Marekani.
''Nilijiona kuwa mwenye bahati. Sikujua mtu yeyote wakati huo na wazazi wangu hawakuwa na fedha za kunipeleka ng'ambo kusoma'', alisema bwana Jonas, akiongezea kuwa babake alikuwa akifanya kazi katika jeshi la Tanzania.
Pacha walioungana Tanzania wawasili Saudi Arabia kwa upasuaji
Masomo yake
Akiwa nchini Marekani, alituma maombi ya kutaka kusoma katika chuo kikuu na akafanikiwa kusajiliwa na chuo kikuu cha Wichita ambapo alisomea shahada ya uhandisi wa mitambo ya kielektroniki pamoja na hesabati.
Masomo hayo yalitarajiwa kumpeleka katika kampuni ya Bombardier, kampuni ya uchukuzi wa ndege ya Canada ilioko katika mji wa Montreal, Quebec.
Ndege ya shirika la ndege la Air Tanzania iliotengezwa na kampuni ya BoeingHaki miliki ya pichaIKULU TANZANIA
Alifanya mafunzo yake katika tawi la Bombaridier lililopo Wichita 2005, huku akihusika na utengezaji wa ndege za watu binafsi pamoja na zile za kijeshi.
Alifanya kazi katika kampuni hiyo kwa miaka minne kabla ya kujiunga na Boeing 2011 kama muhandisi wa kielektroniki wa mitambo ya ndege za kibiashara.
Alihusika na mifumo yote ya kuendesha ndege hiyo.
Wakati mmoja alipokuwa katika mtandao akapata tangazo la Boeing na kuamua kujaribu kutuma ombi.
''Siku moja nilipokuwa kazini nilipokea simu kutoka Boeing, ikinielezea kwamba nilikuwa miongoni mwa watu 50 walioorodheshwa katika mahojiano ya kazi. Walinitumia nauli ya ndege. Nilienda katika mahojiano hayo, nikiwa sina wasiwasi, kwasababu tayari nilikuwa nimeajiriwa na Bombadier'', alisema.#KUWA #MZALENDOBONYEZAALAMAYA #SUBSCRIBE HAPO CHINI KUPATA HABARI ZA NDEGE TANZANIA .........LIKE........COMMENTS
KARIBU KWENYE CHANNEL YA AVIATION PEKEE TANZANIA COMMENT LIKE SUBSCRIBE
NAOMBA SURPORT YAKO KWA KU SUBSCRIBE NA COMMENTS TUU PLEA
Hatari bilioniar mmiliki wa Mabasi ya dar lux.afanya kufulu. Bukoba.
MISS TANZANIA AKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA, KUIPAISHA NCHI MASHINDANO YA DUNIA
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe, amemkabidhi bendera Miss Tanzania kwa ajili ya kwenda kushiriki shindani la dunia litakalofanyika Sanya nchini China Desemba 8 mwaka huu.
Tanzania per Landrover
In gesprek met een plaatselijke journalist tijdens ons verblijf in Tanzania maar hoe loopt dit af?
Azam TV – Ufugaji wa kisasa wa samaki kwa kutimia tenki la maji
Huenda unapenda kufuga samaki, lakini unashindwa kwakuwa hakuna sehemu ya kutosha. Makala ya Shambani iliyoandaliwa na mwandishi wa Azam TV Jamaly Hashim, inatoa darasa la ufugaji huo wa kisasa.
Uhasama wa binadamu na wanyama wazidii kutokana na makali ya ukame
Ongezeko la visa vya mizozo baina ya wanyama na wanadamu katika muda wa miezi miwili hivi, limesababishwa na ukame uliokithiri na kulazimu wanyama pori kuingia katika makazi ya wanadamu. Kutokana na hali hio, shirika la wanyama pori nchini kws linapanga kujenga ua wa kudumu kuzingira hifadhi za wanyama pori ili kuepukana na maafa yanayoshuhudiwa kila wakati wa kiangazi.
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
Follow us on Twitter:
Like us on Facebook:
For more great content go to and download our apps:
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
dar lux overtaking new force ets2 Whatsapp group: https://chat.whatsapp.com/LuPtRnMSeKUA9TL9abKXIX
game version: ets2 1.31
bus mod: volvo grand right hand
traffic mod: Volvo by dbmx
House of Spices, Zanzibar City, Tanzania - Photos & Price
Cheap Hotels with Top Ratings House of Spices
Situated in the heart of Stone Town, House of Spices features a wine bar, restaurant and two tea rooms. It is located just 500 metres from the fruit and fish market of Darajan.
Continent: Africa,
County: Tanzania,
City: Zanzibar City,
Location Address: Kiponda Street, Stone Town,
Map: -6.16123556789076 39.1928109526634
Stado Rally 2017 Big Jump
Dharam Pandya & A. Bafadhil - Stado Rally 2017
HARMONIZE!!aondoka na LINDITANDAHIMANACHINGWEAMASASI WASAF AUDITION
Kuna Namna Kwa Yesu
Kwaya Ya Vijana, Tabata Shule
Amsterdam to Dar Es salaam via Kilimanjaro with KLM Royal Dutch Airline. Flight KL0571
This is a KLM Flight Long Haul flight from Amsterdam Airport Schiphol (AMS) to Kilimanjaro International Airport (JRO), - Dar Es Salaam International Airport
CHEMICAL TILALILA COVER BY WITY THE BADEST
Hii ni cover ya msanii chemical toka Tanzania tunatambua kazi zake na tuna mpongeza na tuna fanya cover ili kumtia moyo kwamba tupo tuna mkubali haki miliki ni zake
Air Tanzania | 787-8 | 5H-TCG | Takeoff from Seattle Everett/Paine Field (PAE)
I filmed Air Tanzania's new 787 Dreamliner takeoff for the first time from Everett/Paine Field. My favorite part of the livery is the giraffe on the tail. This was a special catch!
For licensing and use of this footage, please email quintinsoloviev913@gmail.com
Hope you enjoy!
*UPDATE*
This poorly managed airline used this video in their new commercial. They removed my watermark and never contacted me for licensing or permission to use my video commercially. This is an infringement of my copyright. I hope this airline fails again.
——————————
Check out my plane spotting photos:
Subscribe to my other channel:
Equipment: Sony A7S, Sony AX-53, Sony RX100 III, GoPro Hero5
Music: YouTube Audio Library
Instagram: @qfsaviation, @quintinsoloviev
Snapchat: quintin913
Any ideas for future videos? Please comment!
——————————
© 2018 Quintin Soloviev/QFS Aviation
Bi Samia Suluhu Alia na Umiliki Holela wa Silaha Mtaani
Makamo wa Rais Bi.Samia Suluhu awataka mawaziri wa nchi wananchama wa taasisi inayodhibiti silaha ndogo na za kati katika nchi za maziwa makuu kutafuta mbinu ya kupunguza silaha zilizozagaa kiholela mikononi mwa mwatu.