Some of the colonial features of Tanga, filmed on Thursday, 30 March 2017.
Kumbukumbu ya kifo cha imam Hussein A.S. Pangani Tanga.
Imam Hussein ni mjukuu wa mtume muhamad saww. alieuwawa akitetea dini na mtawala wa zama hizo Yazidi bin Muawia mwaka 61 baada ya hijra.
Kwa mawasailiano zaidi: 0713365336 0657404029
hivyo ndivyo waumini wa madhehebu ya Shia imamya walivyoadhimisha siku hiyo adhimu katika uislam ndani ya Wilaya ya Pangani Tanga. Tarehe 30/09/2017
Ziara katika jengo la makumbusho ya Wamarekani wenye asili ya kiafrika
Sehemu ya pili ya ziara katika jengo la makumbusho ya Wamarekani wenye asili ya kiafrika jijini Washington, katika Washington Bureau. Disemba 2, 2016
Originally published at -
Pangani - people
Some of the characters and local people around Pangani, Tanzania (not shown elsewhere).
MORNING TRUMPET: Asili ya ZAMADAMU Bonde la Olduvai Ngorongoro
Maelezo kuhusu asili ya ZAMADAMU katika Bonde Olduvai Ngorongoro Arusha kupitia Morning Trumpet na Profesa Audax Mabula-Mkurugenzi wa Makumbusho ya Taifa.
ASKARI WA NYERERE ALIVYOSHEREHEKEA MIAKA 90 YA KUZALIWA KWAKE
Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Philemon Mgaya ambaye pia amewahi kufanyakazi na Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere amefanya Sherehe ya kutimiza umri wa miaka 90. Mzee Mgaya pia aliwahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora.
PANGANI!! A DAY IN THE LIFE OF A VLOGGER
The opinions expressed above are yours. They are not necessarily those of my friends or myself.
Since my GoPro hasn't arrived, I decided to use my phone to shoot some random clips.
So my friends and I decided to take a cruise around Nairobi... We visited some old friends to see how they were fairing on :)
After a few hours later we decided to go pick a mate from #Buruklynn
LIKE, SHARE SUBSCRIBE.
FAQ: Camera= OpenCamera 2.0 On Tecno Camon X Editor= KineMaster Pro Music= Happy Vlogs Music
Makumbusho,Dar es salaam
WANAJESHI WETU WANAPOTUKUMBUSHA ASILI YETU KATIKA NGOMA ZA ZANZIBAR
Jeshi la Wananchi Tanazania wakitukumbusha Ngoma zetu za Asili,hapa ilikuwa siku ambapo Rais wa Tanzania Mh.John Pombe Magufuli akikabidhiwa Kituo cha Mafunzo ya Kijeshi na Balozi wa China huko Mapinga Bagamoyo.
SEHEMU YA TANO YA HISTORIA YA MWL NYERERE
KARIBU kusikiliza sehemu ya tano ya historia ya mwalimu Nyerere!
WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAELEZA JINSI WANAVYOMKUMBUKA MWALIMU NYERERE
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.