Watu wawili wafariki dunia na wengine 13 kujeruhiwa katika ajali ya basi Mbeya.
Watu wawili wamefariki dunia na wengine 13 kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Ndenjela linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Dar es Salaam kuligonga kwa nyuma basi dogo aina ya toyota Hiace ambalo ni daladala linalofanya safari zake kati ya Igawilo na stendi kuu jijini Mbeya katika eneo la Uyole, kwenye barabara kuu ya Tanzania - Zambia.
MASHINDANO YA RVO: Mbio za Baiskeli awamu ya tatu zafanyika
Kwa habari zaidi tembelea Tufuate kwa mtandao wa Twitter Tufuate kwenye ukurasa wa FaceBook
MASHINDANO YA RVO: Mbio za Baiskeli za mkondo wa 4 na mwisho zafanyika
Kwa habari zaidi tembelea Tufuate kwa mtandao wa Twitter Tufuate kwenye ukurasa wa FaceBook
KARIBU ULAYA 1
EID MOSI UWANJA WA TAIFA KAHAMA.
WELEDI: Mwendeshaji bodaboda mashuhuri awazuzua wengi
Kwa habari zaidi tembelea Tufuate kwa mtandao wa Twitter Tufuate kwenye ukurasa wa FaceBook
Afisa Wa Polisi Afariki Akiwa Kwenye Pikipiki Ya Raia
Afisa mmoja wa polisi na mwendeshaji pikipiki wameaga dunia baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani katika mtaa wa South B wakati wakimfuata jamaa aliyekataa kutoa hongo zaidi na kuabiri matatu. Imedaiwa kuwa afisa huyo wa polisi alimhadaa mwendeshaji huyo wa pikipiki na kumlazimisha kuendesha pikipiki hiyo kwa haraka kabla ya kugongana ana kwa ana na gari dogo na kufariki papo hapo.
Siri kuu 5 kuhamia Dodoma, Wizara yatafuna mabilioni kuandaa hafla hewa
Siri kuu 5 kuhamia Dodoma, Wizara yatafuna mabilioni kuandaa hafla hewa
Kituo kilichofaa Rwanda mashindano ya baiskeli
Rwanda inapojiandaa kwa mashindano ya kimataifa ya mbio za baiskeli maarufu ‘Tour of Rwanda’ yatakayoanza Jumapili, inasifiwa kwa kufanya mapinduzi kuimarisha mchezo huo
Tazama maajabu pikipiki zinavyoendeshwa ndani ya kachumba kadogo
FutureTz
4shoot.... Practise..... Singida.....singidani... Rode Club
SINEMA ZETU INTERNATIONAL FILM FESTIVAL - MWANZA TOUR 2017
ujio mpya wa sinema zetu kwa wakazi wa mwanza na waandaajibwa kazi za filamu kwa mawasiliano zaidi wasiliana na wakala wa mwanza Wambura Mwikwabe 0754766910